NYG CENTER

NMB CHANGIA / TOA SADAKA
WELCOME NYG FAN PAGE NYG GROUP SONGEA NYG WORSHIP LABEL NYG CHURCH MINISTRY JEFF ELECTRONICS - CHINA NDOGO

πŸ”΄ STREAM LIVE / ▢️ LISTEN NOW

πŸ’¬ NYG LIVE CHAT & SONG REQUEST

KUHUSU SISI

NYG GROUP SONGEA ni Shirika la Kijamii lililosajiliwa (CBO Na. NA-6913) lenye makao yake Songea, Tanzania.

Shirika linaendesha shughuli za huduma, muziki na maendeleo ya jamii, ikiwemo NYG WORSHIP na NYG MUSIC HUB.

NYG GROUP SONGEA pia imesajiliwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na imepewa kibali cha kuendesha shughuli za sanaa chini ya Namba ya Usajili BST-9684-2026-1645. Kibali cha BASATA ni halali kuanzia 10 Septemba 2026 hadi 10 Septemba 2027.

πŸ“„ Tazama Kibali cha BASATA

NYG GROUP SONGEA ilianzishwa na inaongozwa na Eliud Davies Bilal.

DIRA

Kujenga jamii iliyobadilishwa, iliyohamasishwa na kuwezeshwa kupitia imani, muziki, ubunifu na maendeleo ya jamii.

DHAMIRA

Kutumia imani, muziki, vyombo vya habari na shughuli za kijamii kuhamasisha, kuwezesha na kuleta mabadiliko chanya katika maisha.

LIGHT OF THE WORLD EP

NYG WORSHIP

LIGHT OF THE WORLD EP - NYG WORSHIP

🎡 LISTEN ON AUDIOMACK

WIMBO MPYA

WIMBO MPYA

LATEST RELEASE

MAOMBI - AZZO DREY β–Ά

MAOMBI – AZZO DREY

Wimbo mpya unaotangazwa

πŸ‘ 0 Views πŸ‘ 0 Likes πŸ’¬ 0 Comments

PREVIOUS RELEASES

SEMA NENO β–Ά
SEMA NENO
NYG WORSHIP
πŸ‘οΈ 0 Views πŸ‘ 0 Likes πŸ’¬ 0 Comments
TEMBEA NA YESU β–Ά
TEMBEA NA YESU
NYG WORSHIP
πŸ‘οΈ 0 Views πŸ‘ 0 Likes πŸ’¬ 0 Comments
TWENDE β–Ά
TWENDE
NUEL HENRY
πŸ‘οΈ 0 Views πŸ‘ 0 Likes πŸ’¬ 0 Comments
JIRANI β–Ά
JIRANI
AFANDE BRIGHT
πŸ‘οΈ 0 Views πŸ‘ 0 Likes πŸ’¬ 0 Comments

TRENDING SONGS

WASIFU / BIOGRAPH

Fahamu historia, huduma na safari za muziki za waimbaji wetu wa Injili.

FUNGUA WASIFU

NYG MARKET PLACE

Karibu NYG MARKET PLACE. Michezo, fursa za kazi na huduma mbalimbali.

FUNGUA MARKET PLACE
Neno la Mwezi - Octoba 2026

πŸ™ SHUHUDA / TESTIMONIES

Sikiliza matendo makuu ya Mungu katika maisha ya waamini.

Shuhuda zinapakiwa...

πŸ’¬ MAONI YA WAAMINI

Jadili shuhuda kwa kutaja namba yake.

Maoni yataonekana hapa.
Apostolic Month - NYG Graceland Center

MATUKIO YA NYG

MTUME BILALI ATANGAZA OKTOBA 2026 KUWA MWEZI WA KITUME

Mtumishi wa Mungu na Kiongozi Mkuu wa Huduma ya Nuru Yang’aa Gizani – NYG GRACELAND CENTER, Msamala, Songea, Tanzania, Balozi Apostle Bilali, ametangaza rasmi Oktoba 2026 kuwa Mwezi wa Kitume. Kilele chake kitakuwa tarehe 25/10/2026, ambapo Ibada Kuu ya APOSTOLIC DAY itafanyika.

Katika kikao chake na watenda kazi Jumamosi hii, Apostle Bilali amethibitisha kuwa mwezi huu utakuwa na misheni mbalimbali, zikiwemo kuwatembelea wafungwa na kuwapatia mahitaji muhimu, kuhubiri Injili mitaani na kufanya semina.

Mwezi wa Kitume utahitimishwa kwa Ibada Kuu pamoja na Tamasha la Sifa tarehe 25/10/2026. Waimbaji kutoka NYG WORSHIP watashiriki na kulipamba tamasha hilo.

Apostle Bilali ametoa mwongozo wa namna ya kuenenda katika Mwezi huu wa Kitume na amewakaribisha watu wote kushiriki matukio mbalimbali yatakayofanyika katika mwezi huu.

Matangazo na Uhamasishaji

Vitabu 5 vya kujenga uchumi wakoVITABU 5 VYA KUJENGA UCHUMI WAKO

0755 498 731.

NYG MUSIC HUB - WIMBO MPYA ON TRENDING

KARIBU NYG MUSIC HUB!

Karibu utuletee wimbo wako mpya na bora ili usikike, utambulike na kupata nafasi ya ku-trend kwenye kurasa zetu!

Wasiliana nasi whatsup 0755498731 na ututumie link ya YouTube ya wimbo wako kwa ajili ya ukaguzi. Wimbo utakaokidhi vigezo vyetu utaidhinishwa na kutangazwa.

NYG ART WORK

Karibu NYG ART WORK! Kwa huduma zote zilizoonyeshwa kwenye bango, wasiliana nasi. Tutakufanyia kazi nzuri na bora!
WhatsApp: 0755 498 731

LUNCH HOUR - APOSTLE BILALI

Karibu kusikiliza Neno la Mungu na maombi kila Jumatatu mpaka Ijumaa, saa 7:00 mchana! Apostle Bilali anakuwa LIVE STREAM hapahapa!

MAWASILIANO

WhatsApp: +255 755 498 731


Email: info@nygmusichub.com

NMB CHANGIA / TOA SADAKA
Privacy Policy

SERA YA FARAGHA

NYG CENTER inaheshimu na kulinda faragha ya watumiaji wa tovuti yetu. Taarifa zozote zinazotolewa kupitia huduma za tovuti, ikiwemo NYG LIVE CHAT, zitatumika kwa madhumuni ya mawasiliano na kuboresha huduma zetu.

Watumiaji wanashauriwa kutotuma taarifa nyeti binafsi kupitia sehemu ya mazungumzo ya moja kwa moja.

Hatutauza au kutoa taarifa binafsi za watumiaji kwa watu wengine kwa madhumuni ya kibiashara bila ruhusa, isipokuwa pale inapohitajika kwa mujibu wa sheria.

Kwa maswali kuhusu faragha na matumizi ya tovuti, wasiliana nasi kupitia: info@nygmusichub.com